Vigezo na Masharti

Application hii ni kwa ajili ya kupokea malalamiko yako yanayohusiana na kazi za uandishi wa habari.

Hakikisha taarifa unazotoa ni sahihi, kwani zitafuatiliwa na kuchunguzwa kwa umakini. Ukitoa taarifa ya uongo hatua za kisheria zitafuata.

Tunaomba utoe ushirikiano endapo utahitajika kwa ufafanuzi zaidi.

Elewa kwamba taarifa unazotoa ni siri na hazitatumika sehemu isiyostahili.

Utapohitajika kwa ufafanuzi zaidi, toa ushirikiano.

Rudi Kujisajili